Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Vidole vyao vimekufa ganzi 🤣Jamani wenye timu yao wako wapi? Mbona siwaoni hata mmoja hapa? Yaani mada inashereheshwa na full squad la Mnyama! Wameisusa!?
Jamani wenye timu yao wako wapi? Mbona siwaoni hata mmoja hapa? Yaani mada inashereheshwa na full squad la Mnyama! Wameisusa!