Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo nimekaa paleee[emoji1542][emoji1542][emoji1542]2nd Half ndo dakika za Yanga.Endelea kufuatilia kandanda safi naona magoli 2
anajisahaulisha!Kipanga alichezea goli tatu wewe utopolo uwe unauliza kwanza
Haingii uwanjani so yupo hapo Yanga kufundisha Mapambio au!?Sasa Nabi ndio anaingia uwanjani?
Basi pambaneni na hali zenuHayo maneno yenu malengo yetu kwa ligi ya ndani ni ubingwa na hauwezi kuwa bingwa Kwa kuchagua timu za kuzifunga. Hata ikiuma lazima tukufungeni Ili tuwe mabingwa
Mkuu itakuwa hatujamuelewaUkiwa na maana ya kwamba ile unbeaten yenu kuna namna mnaifanikisha tofauti na mbinu za kocha, au mimi ndio sijaelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app