Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga walipaswa kumfukuza Nabi baada ya Mechi ya Al hilal.
Mechi zote anazokutana na makocha ambao ni tactical anakosa majibu. Mechi dhidi ya Vipers, Al hilal na hii ya leo na ona hana mbinu yoyote ya kujibu mipango wanayokuna nayo.
Sasa Nabi ndio anaingia uwanjani?
 
Yanga wa kawaida saana, sijui huwa wanajigamba nini. Huyu refa sijui Yanga mmempa nini ila msipokuwa makini game hii hamsapui.

Hawa jamaa watawaotea kimoja tu wanafunga mahesabu.
 
Vipi tena huku nyie utopolo?

Hebu shindeni bana msitutie aibu hapa.

Hawa jamaa wanacheza kikubwa kuweni makini mtapigwa kama Ngoma soon.
 
Sikumbuki kama Yanga Sc amecheza mechi yoyote ile na Kipanga, ninachoju mimi ni Simba Sc ndio alicheza nao mechi ya kirafiki kule Zanzibar na kama sijakosea nadhani tulitoka suluhu.

Kipanga alicheza vizuri sana pale Zenji kiasi cha kuwalazimisha waarabu wapaki bus.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kipanga alichezea goli tatu wewe utopolo uwe unauliza kwanza
 
Linakufa jitu leo!
images (4).jpg
 
utopwax inabidi watafute captain wa kimataifa huyu toto lugha hajui
 
Back
Top Bottom