Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Gooooll Ni dk ya 54 fiston mayele manyonyo yanatetema anaipatia yanga bao la kwanza hakika yanga imeamua vita Ni vita muraaaa..!
 
Kuna wachezaji nawaona wanapiga mpira kwasababu tu upo mbele yao
 
Morrison impact yake inaweza kuwa kubwa na ikiwa ndogo inakuwa ndogo kweli
 
Fei
Moloko
Juma Shaban
Moloko
Moloko

Mpira umesimama

Club Africain

Wanafanya mabadiriko
 
Hawa jamaa wanajua kupoteza muda sijawahi kuona
 
Job
Job
Juma Shaban

Mayele
Aucho
Kibwana
Aucho
Kibwana

Azizi Kii
Bangala
Juma Shaban
Azizi Kii

Feeeeeeeiiiiii

Kona
 
Back
Top Bottom