Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Aucho
Bangala
Juma Shaban

Morison

Madhambi
 
Yanga msipofunga nyumbani basi poleni sana
 
Aziz Kii

Dakika 63'

Yanga 0-0 Club Africain
 
imethibitishwa ndugu mteja Jiii esii emuuu muamala JSWX8G01WF wa tsh 50,000,000 uliotuma kwa refa wa caf umegoma mtandao unasumbua.Ahsante kwa kutumia M-Pesa.

[emoji115]
ndugu zangu sisi Yanga mambo magumu.
Ha ha ha ha[emoji23]
 
Azizi Kiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Kipa anadaka pale
 
Toa kisinda weka Okrah, toa Aziz Ki weka CHAMA , toa Mayele weka Phiri kwa hikihiki kikosi Africain amgekufa si chini ya bao 3.

Kwa huu mpira mnacheza hapa hata kama mngeenda makundi ni dhahiri kuwa mngeburuza mkia kwenye kundi, na kila team kwenye kundi lenu ingejihesabia points 6 (home&away).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moloko
Azizi Kii

Morison
Aziz Kii

Aziz Kii

Moloko
Juma Shaban
 
Diarra
Juma Shaban
Aziz Kii
Moloko

Goli kipa anadaka
 
imethibitishwa ndugu mteja Ji Esi Emu muamala JSWX8G01WF wa tsh 50,000,000 uliotuma kwa refa wa caf umegoma mtandao unasumbua.Ahsante kwa kutumia M-Pesa.

[emoji115]
ndugu zangu sisi Yanga mambo magumu.
Ha ha bahasha hazijasoma leoo
 
Back
Top Bottom