Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Hakika Mkuu. Japo napata uzito kusema kule tunaeza pata matokeo yenye kutuvusha hatua inayofuata.
Huo ndio ukweli, kule kugumu kujipa matumaini ya uongo sio mchongo
 
Ali Kamwe kaka wa vichambo vya mafungu, sijui leo ataambia nn watu, weraaaaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapi Unbeaten????????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16674032948482911.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi huruma maskiniiiii, unatoa chozi huku unagumia, vumilia kimataifa sio level yenu.

Uwiiiiih
Yani unavyoandika hivi utadhani ni mshabiki wa TP Mazembe iliyochukuwa Ubingwa wa Africa Mara 5, kumbe ni mwanarobo fainali.
 
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
#YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO#
Mpira una matokeo matatu, tukutane Tunisia...
 
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
#YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO#
Mpira una matokeo matatu, tukutane Tunisia...
Nyuma mwiko huwa mnamaanisha nn?
 
Ha ha ha ha ha wajiandae kwa mwakani tena machozi ya Geita bado hayajalipwa vizuri
Tangu 1935 Yanga ndio timu kongwe iliyochukua mataji mengi

Timu inayochukua mataji mengi ndio inakuwa inashiriki mashindano ya kimataifa mara nyingi zaidi

Kwa advantage hiyo Yanga walipaswa wawe mbali sana kuliko Simba.

Lakini miaka yote hiyo karibia na karne hawakuwahi kutengeneza rekodi nzuri kupitia ukongwe wao

Makosa ambayo wamekuwa wakiyafanya kwa zaidi ya miaka 80 we unatarajia yataweza kutatulika mwakani?
 
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
#YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO#
Mpira una matokeo matatu, tukutane Tunisia...
Nakazia Mamy.

Imeisha hiyooo. 💛💚💛💚💛💚 tukutane Tunisia.
 
Ushabiki wa bongo unatia hasira,huku kwenye kibanda watu wamelipuka utadhani Yanga kashinda 😂😂😂😂😂
Ni kama huku tu, yani mashabiki wa Simba wengi tumewa outnumber Yanga sasa kuna wale mashabiki Wa Simba wenye fujo yani wamegeuka kero sana leo kwa Yanga
 
Sasa imagine msimu huu Yanga ndio INA kikosi bora kabisa kuwahi kutokea, kwa hili siku za Nabi kuwa Yanga zinahesabika, kiu ya Wana Yanga ni international games ambazo kimsingi zimemshinda.
Kikosi bora kwasababu umechukua ligi?

Kikosi bora kwasababu ya unbeaten?

Kikosi bora kwasababu umemfunga Simba?

We sema una kikosi chenye unafuu sio kikosi bora bana
 
Back
Top Bottom