Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

Bado wapo Biharamulo huko mipakani 😂.
20221102_205636.jpg


wangetuomba msaada tungewaazima dada zetu leo.
 
Ha
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
#YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO#
Mpira una matokeo matatu, tukutane Tunisia...
Hadi siku mwiko mkichomoa mtakaa sawa
 
Inawezekana jogoo hawiki anarundika wake kupumbaza watu wasijue shida yake
Mbona Yanga yangu, waliwafunga Zolan fc. 9:0
Iliyo wapeleka moja kwa moja kwenye MAKUNDI.

Namaanisha MAKUNDI ya Wasapu.
Sasa shida iko wapi sasa kwa mzee wangu maharage ya mbeya.
 
Yanga bila bahasha za khakhi itakuwa kama ihefu tu.

Itegemee kauli mbiu yao ya Unbitten na Mabingwa wa Kihistori.

Mipango yao iishie kutetea hizo hoja tu basi.

Naskia toka Yanga yangu, mwingie makundi ya Wasapu, miaka ya sabini, wakati mimi sijazaliwa bado kumbe mlikuwa Unbitten.
 
Nabi ni double agent, kule ni kwako ...kawauza
 
Yanga yangu, wanaume wa shoka mnazidiwa hata na Simba Queens kwa rekodi ya mwaka huu kweli ?

Leo Simba Queens wame piga mtu 2 kwa [emoji83] ligi ya Club Bingwa Africa.

Tukiwambia ukweli mmewekeza kuhonga ili mshinde ligi ya ndani na Simba afungwe mnabaki

Nyenyenyenye Unbitten.

Wanawazidi hadi Simba Queens juzi wamelamba Bilioni moja za CAF.
 
Back
Top Bottom