Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Naona leo umerudi kwa timu yako, uache utapeli dogoGoli lipo kwa Wananchi dak hizi za lala kwa buriani
Mkuu lete mrejesho score ngapi hukoGoli lipo kwa Wananchi dak hizi za lala kwa buriani
Bado milango ni migumu hasa kwny lango la mbeya city, kuna kufuli la chuma paleMkuu lete mrejesho score ngapi huko
Jamaa wapo vizuri.Hawa mbeya Simba ni halali wawafunge Simba, ni wagumu haswa
Kweli kabisa kawanyima mbeya city free kick bwanaHuyu refa bana. Anatuharibia nafasi ya goli sisi mbeya city
katoka sasa nini kimetokeaUwe unasoma na kutafakari vizuri