Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mtasubiri sana!Ni swala la mda tu, itazima kabs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtasubiri sana!Ni swala la mda tu, itazima kabs
Dah.. Kigoma hiyo MajeneretaKazuramimba
Haya jipeni moyo mwaka huu no viporo.Round ya pili wale wazee wetu Msimbazi wanaamka usingizini ndio mtakoma.
Hebu tuwaulize tena?!Bado wanadai wapewe kombe
Ndo kinachofuata iko Mkuu.Wazee wa kukamia timu kubwa! Baada ya mechi hii utashangaa wanapigwa tu mfululizo na wakamiaji wenzao.
Matokeo ni 0-0 hayo ya mziki mnene ni kujifariji tu.Ama kweli mziki wa Yanga ni mnene yaani Mbeya City wanashangilia utadhania wamechukua kombe. 😅
Round ya kwanza kila msimu nyie huwa mabingwa, round ya pili ndio ya Simba SC, hapo najua mmeshaanza kutetemeka hizo pointi nane mna bahati imebaki game moja round iishe, kama vp tungezifuta pointi zote round hii ya kwanza.Haya jipeni moyo mwaka huu no viporo.
Unaweza kuelezea sababu za wao kushangilia?Matokeo ni 0-0 hayo ya mziki mnene ni kujifariji tu.
Jijaze ujingaNawakumbusha TU yanga
Leo mnapoteza point 2
Simba mdogo mdogo anakuja
Mkishtuka tayari mnakairibiwa
Mtacheza kwa presha kila mechi
BADO POINT 8 .......
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mtafungwa nyumbani kwenu.Tunawasubiri mbeya tuwatagishe utopolo
Kaa kwa kutulia.nafasi uliyonayo umekaimishwa tu kwa muda.Ila maisha haya yaani hizo points nane kuna watu wanahisi ndani ya mechi moja tu basi watakuwa wanaongoza. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]