Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Ila maisha haya yaani hizo points nane kuna watu wanahisi ndani ya mechi moja tu basi watakuwa wanaongoza. 🤣🤣🤣
 
Haya jipeni moyo mwaka huu no viporo.
Round ya kwanza kila msimu nyie huwa mabingwa, round ya pili ndio ya Simba SC, hapo najua mmeshaanza kutetemeka hizo pointi nane mna bahati imebaki game moja round iishe, kama vp tungezifuta pointi zote round hii ya kwanza.
 
Kila siku ushindi wa 1-0 af mnaletea watu ujuaji, muwe na adabu kidogo
 
Huyu kocha wa Yanga napendekeza aifundishe Taifa stars. Ni aibu kule Cameroon mpaka Visiwa vya Comoro wamefika 16 bora. Malawi,Cape Verde?, Ethiopia?. Sierra Leon ndani ya nyumba kweli?. Sisi mikia tunabaki kusubiria penat tu kweli?. Nchi yenye watu milioni 60 yenye mashabiki kindaki ndak milioni 20,dhidi ya watu wote milioni 3 tu wa Comoros. Ni aibu kabisa.
 
Back
Top Bottom