Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Kwani kimetokea nn
FB_IMG_16440867231051885.jpg
 
Manara Semaji la Yanga, cheo chake ni kikubwa kuliko kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri
Naam ila leo kutakuwa na utofauti kidogo katika usemaji wake ambao tumekuwa tukiuona baada ya timu kushinda

Leo itafanyika counselling kuwapa motisha mashabiki waone droo ya leo haiwezi kuwa na madhara kwasababu wako mbele kwa point 11
 
Yaani hata Yanga akitoa sare mechi 8 na Simba sports akashinda mechi 8 zote, ila Simba Sports hawezi kuongoza ligi
 
Yaani hata Yanga akitoa sare mechi 8 na Simba sports akashinda mechi 8 zote, ila Simba Sports hawezi kuongoza ligi
Kwani ubishi ni kuongoza ligi au kuchukua kombe?

Msimu uliopita nyinyi mlipoteza points sio kwa kufungwa ni kwa sare, sasa tulieni wekeni umakini muone kinachokuja ni kitu gani

Leo jamaa yenu hajatetemesha maziwa kama kawaida yake pindi akifunga
 
Team imefanya poa hatuna cha kuwadai
Nb: wanatamani kusema mbeya city wabovu ila wakikumbuka walifumuliwa kimoja wanakaa kimya..
 
Team imefanya poa hatuna cha kuwadai
Nb: wanatamani kusema mbeya city wabovu ila wakikumbuka walifumuliwa kimoja wanakaa kimya..
Yanga sio mbovu hao wanaosema hivyo wanafki tu

Wanasema hivyo kwakua mayele hajacheza
 
Team imefanya poa hatuna cha kuwadai
Nb: wanatamani kusema mbeya city wabovu ila wakikumbuka walifumuliwa kimoja wanakaa kimya..
Hakuna Shabik Wa Simba Alosema Mbeya City Wabovu, Ni Wazur Sana tu Ndomana Walitufunga Kwao Na Umetoka Nao Droo Kwako.
 
Hakuna Shabik Wa Simba Alosema Mbeya City Wabovu, Ni Wazur Sana tu Ndomana Walitufunga Kwao Na Umetoka Nao Droo Kwako.
Sisi tumepata point moja usiseme draw tu
Nyinyi ni point 0 ..
Na ndio maana wanashika nafasi ya nne wako vizuri.
 
Back
Top Bottom