Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Mnajinasib Sana Kelele Nyingi Mnatuzomea Vyakutosha Kama Vile Kombe Mlishachukua Au Kama Mshatangazwa Mabingwa
Mzungu Wenu Ndo Kapata Pakuwadanganya Kwa Porojo Zake.

Na Tayari Kwenye Vichwa Vyenu Mshajiaminisha Ubingwa Huu Wenu Na Wale Waarbu Wanahakikisha Kwa Nmna Yeyote Mshinde Ili Msianze Kularuana.
Na Mnadanganyika Na Mwenendo Huu Wa Simba Basi Lazima Mnyanyue Makwapa Yaani Mtakuja Dondoka Walah.
 
Kwani ubishi ni kuongoza ligi au kuchukua kombe?

Msimu uliopita nyinyi mlipoteza points sio kwa kufungwa ni kwa sare, sasa tulieni wekeni umakini muone kinachokuja ni kitu gani

Leo jamaa yenu hajatetemesha maziwa kama kawaida yake pindi akifunga
Yaani hata Yanga akitoa sare mechi 8 na Simba sports akashinda mechi 8 zote, ila Simba Sports hawezi kuongoza ligi
 
Zibeni hilo tundu kwanza walilowatoboa ndio mje tuongee mezani
lipi la mwiko nyuma au

7804482C-EA18-4085-B879-CCD7BEFDCF3F.jpeg
 
Next time piga *150*50*5#
Kuna menu itakuelekeza kutuma ujumbe wa kuwasha kisimbusi..
Azam TV
.Burudani kwa wote.
Mkuu nilifanya hivo, ndo nikaambiwa nisubiri dakika 20. Sasa najiuliza ulimwengu wa digital kweli kubadili kifurushi ichukue dakika ishirini zote. Kuwapandia hewani kajamaa kanaanza kunimind eti nimelipia na kuanza kupiga simu.
Anyways siku hii ligi ikiwapita pembeni, haya madishi na visimbuzi mtapeleja makumbusho
 
Back
Top Bottom