Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

Kwa hiyo unataka kuwapangia watu namna ya kufurahi? Pengine wanashingilia baada ya mechi kuisha salama bila majeruhi., au furaha kwao uanzia wakipata point 1 na na kuendeleà.
Hapa hujajibu kama mtu anayejua mpira.

Ila usijali imeisha hiyo Mkuu.
 
Mtani niseme tu hiki kichambo nimekipokea. Lol 🤣🤣🤣

Vp lakini kheri?
 
Ila Mtani hata ungekuwa wewe unaongoza kwa hizo points usingekuwa na kelele? 🤣🤣

Au wenzetu ndo mnaumia sana sababu hamjazowea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…