Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0 - 0 dk ya 72Vipi huko?
hawachunguliani kabisaVipi huko?
Sana. Red kabisaMbaya hii
Penati waachie simba, Yanga ni goli za halali tuHuu ndio mpira. Tunaonana kabumbu yenye ushindani wa kweli. Sio ule lelemama wa kusubiri penat
Hawa mbeya city halali wawagonge mikiaPenati waachie simba, Yanga ni goli za halali tu
Wale Mikia ni wachumbaHawa mbeya city halali wawagonge mikia
Atoke au?Saidooo awaachie wenzake sasa
Kama zile mlizomfunga Namungo na Ruvu shooting sio?Penati waachie simba, Yanga ni goli za halali tu
Manara Semaji la Yanga, cheo chake ni kikubwa kuliko kuwa Mkurugenzi wa HalmashauriKakosa manara ambaye yumo chamani apewe yeye? atakuwa mtoto wa mganga
Umesahau mmeshapewa penati 9 tayari msimu huu na hata raundi ya kwanza bado haujaishaKama zile mlizomfunga Namungo na Ruvu shooting sio?
Uwe unasoma na kutafakari vizuriAtoke au?