Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Morrison atai cost simba .. Red card
 
Huyu kipa wa yanga yuko kwenye siku zake.
 
Hii timu ya simba hovyo sana. Badala ya kupanga kikosi kibovu kama kile walichocheza na Orlando Pirates kule Afrika ya Kusini!

Halafu huyu mvuta bangi vipi tena! Mbona analeta mambo ya kudeka deka uwanjani!
 
29'

Njano kwa morison na diara naye kapewa
 
Niko mbali na TV ndugu, jamaa kafanyaje huko taifa?
kuna mpira mmoja hapa ameuchukua kwa mshambuliaji wa kijan na nyeusi hatari sana yaan hadi uone ndiyo utaelewa zaidi na kuipata ile ladha halisi
 
Morrison atai cost simba .. Red card
Hakuwa anadanganya pale, kwa bahati mbaya mguu wa mwamnyeto ulifika kwenye paja lake, kilichoharibu mambo ni reaction ya Diarra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…