Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

simba isajil centre forward mwenye speed kama Mayele
 
Yanga wanafika kwa haraka sana golini kwa simba
 
Offtarget moja kwa yanga na mpigaji ni feisal
 
Huu mpira simba ni kama inazuia tu wala sioni jipya humu

Sijui ndio kudharau timu
 
Huu mpira simba ni kama inazuia tu wala sioni jipya humu

Sijui ndio kudharau timu
Ukiona unazuia jua unashambuliwa sana sio umedharau unless utakuwa una uelewa mdogo mbo kuhusu mpira
 
Mugalu ana bahati sasa kuendelea kusalia Simba
 
Back
Top Bottom