Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Machale ya sehemu gani mkuu.Huwa nina ishu ya machale. Leo Yanga anashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machale ya sehemu gani mkuu.Huwa nina ishu ya machale. Leo Yanga anashinda
Yanii wanakelele na uwanja wameshindwa kujaza
Ndiyo ukweli huoWadau wamempa Utopolo 2.30 droo ni 2.70 na Simba 3.25.
Ina maana Yanga ni favourite.
mashabiki wa Yanga leo wana uhakika 100% kuwa wanashinda sasa kaeni kwa kutulia kwanza
Dakika 90 zitatoa majibu sahihiOptions ni mbili tu.
1.Simba kushinda
2.yanga kufungwa
Yaweza kuwa kinyume maana haujui wameamkaje. Hizo wanatoa kwenye data zilizopita.Ndiyo ukweli huo
Sawa acha 90' ziongeeYaweza kuwa kinyume maana haujui wameamkaje. Hizo wanatoa kwenye data zilizopita.