Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Wadau wamempa Utopolo 2.30 droo ni 2.70 na Simba 3.25.

Ina maana Yanga ni favourite.
Kwa mara ya kwanza aliyepanga hizo odds anaenda kubeba lawama kwa kufilisi kampuni kwa kufanya mzaha na pesa za kampuni
 
Unaambiwa huko Kenya mashabiki wa simba ni wenhi mno kuliko uto
 
SIMBA 2 yanga 1
Screenshot_20220430-164904.jpg
 
Skiliza hizo data huyo ni mkenya na ana kiri kuwa Simba ni kubwa sio tz pekee ni africa mashariki yote

Angekuwa mbongo tungesema kapewa hongo
 
Huyu mayele anajiaminia nini mpaka kuhamasisha shangwe kwa mashabiki wa uto?
 
huyo Mayele hata mpira haujaanza anaanza masifa [emoji848][emoji848]
 
Mh mayele anawaamsha mashabiki na timu ishinde au au ifungie timu yake lasivyo hapatakalika humu kwa maneno ya mashabiki wa Simba
 
Back
Top Bottom