Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Kikosi Simba
IMG_20220430_163116.jpg


Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Dakika 90 mtani ndio mwamuzi. Haya mambo haya utashagaa watu wanarukaruka tu uwanjani tofauti na matarajio ya mashabiki. 🤣

Tusubiri tuone, mwenye kisu kikali atakula nyama
Hakika Mtani hizi derby huwa hazitabiriki saa ingine.
 
Kama mnatufunga tufungeni, ila tukiwafunga sisi nitawaomba address zenu niwafate mitaani maana najua humu mtasepa
 
Yanga kwa jinsi mlivyotusumbua kututishia kuhusu mechi ya leo kwa siku zote za nyuma

Kama kweli hii mechi ya leo ni yenu na ilikuwa ni lengo lenu la muda wote basi fanyeni mnaloweza mtufunge

Matokeo yeyote tofauti na hapo yakitokea sitaki kuwa mnafki ila nawashauri mzime data mpaka juma tatu.
 
Back
Top Bottom