Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
hakuna namna, simba koko wana vidomo sana.. kesho mji utatuliaa safiiHakika. Mbili zinawatosha rafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna namna, simba koko wana vidomo sana.. kesho mji utatuliaa safiiHakika. Mbili zinawatosha rafiki.
Kesho mbali ivo 😅 saa hii tu wameshatulia hapa labda washinde ndo utawaona. 😅hakuna namna, simba koko wana vidomo sana.. kesho mji utatuliaa safii
labda washinde njaaa 😅😅😅😅 sio hii mechiKesho mbali ivo 😅 saa hii tu wameshatulia hapa labda washinde ndo utawaona. 😅
Ndio ndio 😅😅😅labda washinde njaaa 😅😅😅😅 sio hii mechi
Ila bana Mtani kabla ya Mechi mna repy short kweli ila ndo mshinde sasa. 🤣🤣🤣Na iwe hivyo
Labda Hakimu tu. 🤣🤣NANI AIOGOPI YANGA????
Mtakoma.Simba ni wachawi....
View attachment 2206199
Lakini Sio Amuweke Benchi Saido Mkuu Apo Mi NakukataaNgushi n mzuri usimbeze mkuu
Si unajua tena mtani mpira ni dakika 90 🤣🤣Ila bana Mtani kabla ya Mechi mna repy short kweli ila ndo mshinde sasa. 🤣🤣🤣
Hili neno ukiliandika vizuri utapata like eneo la kukalia ...MATAKO usiyatikise mtani ..utavunja sindano mteja wetu.🤣🤣🤣🤣🤣Mtakoma.
Kwa kweeli Mtani japo mmezidi kujihami aisee. 🤣🤣🤣Si unajua tena mtani mpira ni dakika 90 🤣🤣
Kama vile tupo uwanjani safi sana MkuuNaaam wasalam wakuu,
Ile siku maalumu iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu hatimaye imefika..Pambano la watani wa jadi katika soka la bongo, leo mtoto hatumwi dukani
Karibuni katika matukio mubashara(live updates) ya mtanange huu wa kukata na shoka baina ya mahasimu wa Soka la bongo, #KariakooDerby Yanga na Simba utakaochezwa saa 11 jioni Estadio De Benjamin Mkapa.
Huu ni mchezo wa namba 160 ligi kuu ya NBC 2021/2022 Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya mtani Simba.. mchezo uliopita wa ligi kuu uliochezwa December 11, 2021, timu hizi zilitoshana au kuchoshana nguvu kwa sare ya bila kufungana/Suluhu...0-0
Pia Simba mechi ya mwisho kimashindano imetoka kupoteza Penalti 4_3 kutoka Orlando Pirates mnamo tarehe 24/4/2022 na hivyo kufurumushwa nje ya mashindano ya kimataifa yaani katika kombe la Shirikisho Afrika. CAFCC.
Yanga ilicheza mechi ya mwisho ligi kuu na Namungo Fc tarehe 24/4/2022 na kushinda 2_1.
Watabiri wa mambo wanasema huu mchezo wa watani wa jadi unaweza kutoa taswira juu ya Ubingwa wa ligi kuu msimu huu..Yanga ikiwa kileleni mwa ligi na point 54 huku Simba akiwa na alama 41 (Tofauti ya point 13). Ni mchezo ambao unatarajiwa kuwa wa kasi, nguvu, akili, maarifa na uzoevu mwingi hasa ukizingatia timu hizi zinapokutana haijalishi nani yuko vizuri kwa form au kiwango, wachezaji hubadilika na kucheza soka la kiushindani sana....
Nani ataibuka kidedea? kaa nami hapa mwanzo, kati na mwisho kupata kila kinachojiri kutoka katika dimba hili lenye kumbukumbu nzuri ya Hayati Benjamin Mkapa Dar es salaam
NB: Je 'watatetema' au 'watatetemeka' tena? [emoji23]
_____________________________________________________________
Updates zaidi kukujia kadiri zinavyopatikana
Mwamuzi wa Mchezo wa Leo ni Ramadhani Kayoko na wasaidizi wake ( Frank Komba [Line1] & Mohamed Mkono [Line2] bila kusahau Elly Sasii [4th Official] ) ilivyotangazwa awali
Azam Tv kupitia chaneli ya Azam sports 1 HD watakuwa mubashara (live).
Kwa wanaotaka Link ikipatikana itawekwa hapa
-----------‐-------------------------------------------------
SIO RASMI utabiri Kikosi cha Simba kinachoanza (STARTING XI)
Manula,Kapombe,Zimbwe Jr,Onyango,Inonga, Mkude,Chama,Sakho,Morrison,Kagere,Bocco
Kocha: Pablo Franco Martin/Suleman Matola
utabiri wa Kikosi cha Yanga kinachoanza (STARTING XI)
Diarra,Shaban,Kibwana,Mwamnyeto,Job,Bangala,Aucho,Moloko,Ntibazonkiza,Feitoto,Mayele
Kocha: Cèdric Kaze
(Kocha Nasridin Nabi bado anatumikia adhabu ya kadi nyekundu kwa hiyo atakuwepo jukwaani)
------------------------------------------------------------------
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app