Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Vyura
JamiiForums1658493089.gif
 
Penalty Mnaweza Kupata Lakini Swala La Kushinda Au Kutoa Sare Halipo.
Sawa..! Nakukumbusha tu..Kwenye Derby iliyopita Diara alipoteza Network dakika kadhaa baada ya kusave Kombora la Sadio Kanoute.

Leo mwambie Diara kuwa Kanoute anaanzia alipoishia..!
 
KIKOSI CHA YANGA.
1. DIARRA
2. DJUMA
3. SHOMARI
4. BANGALA
5. MWAMNYETO
6. SURE BOY
7. MOLOKO
8. AUCHO
9. MAYELE
10. FEISAL
11. MAKAMBO.
Hata mm kuchezesha Makambo na Mayele naona ndiyo njia ya kuiangamiza Simba kirahisi
 
Ninao Ujasiri wa Kusema Simba Nguvu Moja.
 
Hii nchi inalindwa babu, usione unalala usingizi fofofo unaamka salama. Muulize Zelensky akwambie!
Sasa hii reply yako ina uhusiano gani na nilichoandika mimi? Km ni ishu ya kutokulala mbn Mimi nilikuwa macho pia muda anapost huu Uzi,au na Mimi nalinda nchi?

Nimemuuliza mleta mada Kwa nn nyuzi zake huwa anapost saa 6 kamili usiku,jibu lilipaswa kuwa sawasawa na swali langu...Kwa nn anapost nyuzi zake saa sita kamili usiku?
 
Sawa..! Nakukumbusha tu..Kwenye Derby iliyopita Diara alipoteza Network dakika kadhaa baada ya kusave Kombora la Sadio Kanoute.

Leo mwambie Diara kuwa Kanoute anaanzia alipoishia..!
Mbona Hata Manula Alitaka Kuchanika Kwapa Kutaka Kusave Kombora La Godfather Wa Bujumbura (Ntibazonkiza) Lililogonga Mwamba Na Kurudi Kisha Mayele Kuweka Kambani Ikawa Offside , Mwambie Manula Ntibazonkiza Anakuja Kuanza Naye Upya Haanzii Alipoishia [emoji4]
 
Back
Top Bottom