Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Kila la Kheri Timu ya Wananchi. Leo ndo ile siku ya kumalizia kuchukua zile points tatu zetu muhimu zilizobakia ndani ya huu mwezi April.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Young_Africans_SC_(logo).png
 
Nimecheka hiyo NB eti Watatetema au Watatetemeka.

Waendelee tu na mitetemeko yao. 😅
 
Eeh kumbe mbungi linapigwa usiku wa manene mchana ni kumalizia tu
 
CORRECT SCORE
HT YANGA 1-1 SIMBA

FT YANGA SC 3-1 SIMBA SC.

Msiniulize nilikotoa matokeo ila ndio hivyo. SIMBA atatangulia goli la mapema kisha YANGA atachomoa katika kipindi cha kwanza.
Kipindi cha Pili, YANGA watapata goli 2, ktk goli hizo moja litafugwa kwa mguu wa KUSHOTO na Moja la KICHWA.

Tukutane kesho Saa 2 Usiku mara baada ya mechi.
Huu utabiri ilitakiwa uugeuze iwe pesa, weka mkeka kabisa. Kama details zote ulizotaja hapa ni za uhakika kama unavyosema, nakuona ukiwa umejaa vibunda baada ya mechi.
 
vyovyote itakavyokuwa, Mayele hatofunga wala kutetema!!

Yanga 1-2 Simba

Namuona Chama akiingia kambani huku Kapombe akitakata mechi hiyo!

Ila red card itawaathiri sana Yanga!

Simba...Nguvu Moja
Kuna penalty kwa Morrison..Utaniambia baadaye..!
 
Kila la heri chama langu toka utotoni naamini hamtaniangusha simba ,lazima yanga akalishwe
 
Back
Top Bottom