Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Simba 3 Yanga 1
Barikiwa sana
FB_IMG_1651213665511.jpg
 
CORRECT SCORE
HT YANGA 1-1 SIMBA

FT YANGA SC 3-1 SIMBA SC.

Msiniulize nilikotoa matokeo ila ndio hivyo. SIMBA atatangulia goli la mapema kisha YANGA atachomoa katika kipindi cha kwanza.
Kipindi cha Pili, YANGA watapata goli 2, ktk goli hizo moja litafugwa kwa mguu wa KUSHOTO na Moja la KICHWA.

Tukutane kesho Saa 2 Usiku mara baada ya mechi.
 
Napenda kuwashukuru na kuwapongeza wazazi wa bibi harusi kwa kumlea na kumtunza vema mtoto wao hadi kufikia leo anaolewa akiwa na uanamwali wake (BIKRA )
 
CORRECT SCORE
HT YANGA 1-1 SIMBA

FT YANGA SC 3-1 SIMBA SC.

Msiniulize nilikotoa matokeo ila ndio hivyo. SIMBA atatangulia goli la mapema kisha YANGA atachomoa katika kipindi cha kwanza.
Kipindi cha Pili, YANGA watapata goli 2, ktk goli hizo moja litafugwa kwa mguu wa KUSHOTO na Moja la KICHWA.

Tukutane kesho Saa 2 Usiku mara baada ya mechi.
Aiseee
 
Naaam usiku wa deni umeisha siku yenyewe imefika
Tuendelee kupeana update hapa
 
Back
Top Bottom