NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Mugalu anawaroga makocha wa Simba maana sio kwa mapenzi haya ya kutokukosa namba game muhimu pamoja na ubovu wake.Mugalu acha mirafu yako ya ajabu ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mugalu anawaroga makocha wa Simba maana sio kwa mapenzi haya ya kutokukosa namba game muhimu pamoja na ubovu wake.Mugalu acha mirafu yako ya ajabu ajabu
Eti mkuuSimba wametawala sana mechikwa dakika hizi 10 za mwanzo
Angalia kupitia Maisha Magic BongoHivi dstv hawaonyeshi hii
Hakuna kitu kama hicho kwani Simba hawapo uwanjani hadi uwape 100%mashabiki wa Yanga leo wana uhakika 100% kuwa wanashinda sasa kaeni kwa kutulia kwanza
Ongezea hapo mbele HDAngalia kupitia Maisha Magic Bongo
Mkuu vp leo viti vitasalimika kweli🤔