Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

40' Vurugu zinatokea kwa lango la Simba...Moloko na Inonga wanapewa kadi ya njano wote wawili

wakati huo ni kona,inapigwa na Saidoo inaokolewa

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Hii game inataka kuharibika sasa, kumekuwa na uhasimu wa kibinadamu badala ya uhasimu wa kimpira.

Kuna red card leo.
 
hapa zitakuja kupigwa maana wachezaji wamoto kama wamepiga cha Arusha
 
Kipindi hiki cha kwanza yanga anastahili/alistahili kufunga
 
Simba wanapoteza mipira kirahisi sana, yani tungekuwa tunacheza na timu kubwa hapa tulishafungwa nyingi sana
 
Back
Top Bottom