Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Timu kubwa zipi za ambazo simba amecheza nayo wewe chura [emoji196]?
Simba wanapoteza mklira kirahisi sana, yani tungekuwa tunacheza na timu kubwa hapa tulishafungwa nyingi sana
 
Game ya kijinga kabisa, sioni mbungi ya maana kama game iliyopita.
 
Kipondi cha pili sasa yanga wanahamia kwenye goli ambalo limefukiwa hirizi

Hapo ndio mtaona simba ni timu nyingine kabisa
 
Simba wanapoteza mipira kirahisi sana, yani tungekuwa tunacheza na timu kubwa hapa tulishafungwa nyingi sana
Bahati nzuri tunacheza na hawa wasaga sumu, vingenevyo tungekuwa tumewaka.
 
Simba wanapoteza mipira kirahisi sana, yani tungekuwa tunacheza na timu kubwa hapa tulishafungwa nyingi sana
Mi mwenyewe nimshangaa, Simba wanapoteza sana mipira afu kirahisi tu.
 
Back
Top Bottom