Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Chukua hii Mtani. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
View attachment 2206818
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimeipokea hiyo mtani
Ilikuwa bondeni kwa Madiba baada ya kukosa penati๐Ÿ˜‚

Kaja kwa hasira kupoza machungu yake kwa Mayele. Na vile wakongo wote wanapenda sifa๐Ÿ˜‚

Mayele mr Misifa na Inonga vile vile. Kwa ujumla wanapenda kazi zao kuzifanya kikamilifu na kupata sifa wanazostahili.
 
Sema Furaha ingetimia mara mbili Mtani sababu Mayele tu ambavyo hajafunga kwenu ni furaha.

Yaani utafikiria Mayele ndo points tatu. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kama ninyi mlivyokua mnafurahia miaka minne kupata sare huku tukilichukua kombe
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimeipokea hiyo mtani
Ilikuwa bondeni kwa Madiba baada ya kukosa penati๐Ÿ˜‚

Kaja kwa hasira kupoza machungu yake kwa Mayele. Na vile wakongo wote wanapenda sifa๐Ÿ˜‚

Mayele mr Misifa na Inonga vile vile. Kwa ujumla wanapenda kazi zao kuzifanya kikamilifu na kupata sifa wanazostahili.
Hahahaaa!! Haya bana Mtani.

Ngoja tuwasubirie FA kwenye Semi Final tuone tena itakuwaje. Sababu Pamba ni kama mushawatowa.
 
Hapo ndipo aliharibu tukasoma nyendo zake
50 cent.gif
 
H
Hahahaaa!! Haya bana Mtani.

Ngoja tuwasubirie FA kwenye Semi Final tuone tena itakuwaje. Sababu Pamba ni kama mushawatowa.
Hapo FA hakuna kupaki basi wala kupoteza muda maana mshindi lazima apatikane.

Tumalizane kwanza na Pamba unaweza shangaa David anafanya kazi yake bara-bara kwa Goliati kisha tukakutana mwakani๐Ÿ˜‚
 
REPORT from ALLY MAYAI TEMBELE

"Ally Mayai Tembele, akizungumza [emoji2788] Nilicho kiona leo ni kwamba Yanga Sc hawawezi kucheza kimataifa na wakafanikiwa au kupata mafanikio wakiwa na wachezaji wa aina hii ni wakawaida sana walikuwa wakionekana wazuri kwakuwa walikuwa wakikutana na timu ndogondogo

[emoji2788] Yanga ili washindane na timu kama Orando Piratea, Al Ahly, au Tp Mazembe, wanatakiwa kuwa na wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa walionao

[emoji2788]Aucho, Mayele, Bangala, Feisal, kidogo ameonyesha ila hawa wote hawawezi kuwa na bato dhidi ya timu kama Al Ahly, Tp Mazembe, au Berkane,

[emoji2788] Simba ni timu bora sana zaidi ya Yanga tofauti na watu wanavyofikili kuwa Yanga ndio bora Simba Sc huwa wanafungwa na Mbeya City au Biashara, ni kutokana na kujisahau wakifikili kuwa ni timu ndogo au ni mbovu hivyo huwa hawajipangi ipaswavyo

[emoji2788] Yanga wao wanajipanga kila geam kwakuwa hawakutani na timu nyingi kubwa wao wakicheza iwe Mbeya City iwe Namungo wanazichukulia kuwa ni timu kubwa

[emoji2788] Wakati huo Simba wamesha ziweka hizi Namungo na wengine kuwa ni timu ndogo Simba wao wanaamini kuwa timu kubwa ni Al Ahly, Orando, na wengine wakubwa wa Africa na timu za hapa nchini hawazifanyii mazowezi kiujumla

[emoji2788] mchezo wao uliomalizika timu bora kwangu ni Simba Sc Yanga ndio walitakiwa kufungwa leo hiyo ni kwa mtazamo wangu mimi kama Ally Amayai [emoji3578][emoji120][emoji2][emoji2][emoji109]

[emoji2788] Kwa kuongeza hii leo kati ya Mayele, na Mugalu, aliyecheza mpira zaidi ni Mugalu, utofauti upo Mayele, amekutana nafasi nzur ameshindwa kuzitumia na Mugalu, amecheza zaidi mpira ila hajakuta na nafasi nzur ya kufunga

#JUMAHsports
 
H
Hapo FA hakuna kupaki basi wala kupoteza muda maana mshindi lazima apatikane.

Tumalizane kwanza na Pamba unaweza shangaa David anafanya kazi yake bara-bara kwa Goliati kisha tukakutana mwakani๐Ÿ˜‚
Kwa kweeli japo wenye kombe la robo fainali mnaweza fungwa na Pamba kweli?

Haiezi tokea. ๐Ÿ˜‚
 
Ila tuseme tu kwa ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Kama Utopolo wameshindwa kuifunga Simba hii yenye washambuliaji wazee basi tena. Inabidi wakikague vizuri kikosi chao au wavunje benchi la ufundi. Haiwezekani Simba hii ya akina Mhili, Kibu Denis na Bocco mzee na Kagere isifungwe na Yanga.
Ushabiki ni upofu, unashindwa kujua kuwa derby haiwaki kipimo cha ubora wa kikosi kwasababu unaweza kuwa na timu iliyokamilika na mwenzio mchovu lakini inapokuja kwenye derby mchovu anamvimbishia mwenye kikosi bora. Unataka kusema kuwa ile yanga iliyoshindwa kufungwa na kikosi kilichokuwa na kina konde boy, chama na wakina bocco waliong'aa ilikuwa ni Yanga bora?
 
Morrison kakata tamaa !

"Nafikiri HAIWEZEKANI tena sisi kushinda ubingwa, lakini tutaweka nguvu tuwatoe (Yanga) kwenye kombe la FA"

๐Ÿ” Bernard Morrison
Ila akumbuke na huku kibwana Shomari atakuwepo
 
Kwa kweeli japo wenye kombe la robo fainali mnaweza fungwa na Pamba kweli?

Haiezi tokea. ๐Ÿ˜‚
Mtani nadhani ulishuhudia wachimba dhahabu wa Geita walitaka kufanya nini Jangwani. Bahati msaada ukapatikana tutani ๐Ÿ˜‚

Hawa sio wa kuwachukulia poa. Wanapania
 
Mtani nadhani ulishuhudia wachimba dhahabu wa Geita walitaka kufanya nini Jangwani. Bahati msaada ukapatikana tutani ๐Ÿ˜‚

Hawa sio wa kuwachukulia poa. Wanapania
Haya Mtani tusubiri tuone.
 
Unaelewa maana ya invisibo (invicible) kwenye soka? Au kwa akili yako kina Denis, Chris au Meddy unaona kwako ndio invisible. Hapo nadhani ni mmoja pekee aliwahi kuwa kikosi cha invisibo kwenye ligi ya Bara ni Kagere na hata sikumbuki ikiwa kweli alikuwemo kwenye kikosi cha Simba invisibo.

Halafu wewe unaleta habari za Yanga kuwa invisibo kwenye michuano ya CAF Labda uwe unamaanisha ile CUF ya Lipumba halafu mcheze na Al Hilaly ya Somalia, Zamaleck ya Tandale kwa Bibi Nyau na Mamelody ya Mwananyamala Kisiwani.
Haya kacheze na Pamba na invisible yako
 
Msimamo wa Ligi Kuu

55 - Yanga SC
54 - Hakuna
53 - Hakunaaaa
52 - Huamini au?
51 - Labda huko chini
50 - Shuka tena
49 - Wapo mbali
48 - Sio mbaya angalia utawaona
47 - Endelea kuangalia
46 - Sasa unakaribia mitaa yao
45 - Tenaa
44 - enhee
43 - ewaaa
42 - Simba SC
 
Mmeumbuka ninyi MAKOLO, kwahiyo militegemea kabisa mbamizwe na Mayele ili tena mzidiwe point 16, sasa hiyo si netball badala ya soka [emoji848][emoji3526]
Umekosa point kabisa nyie si ndo mnataka kuwa kileleni? Sasa mbona msifunge tuu? Yani timu mbovu hivi
 
Back
Top Bottom