Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Hivi kaze anamshaurigi nini Nabi? Tangu mechi ya Namungo anapga sub hazieleweki na hafanyi rotation ya kikosi anapanga kwa mazoe
 
Muwe mbele muwe nyuma we dont care ila nyie ni wabovuu mbele ya Simba
Misimu yote miwili mliyochukua ubingwa wa Vodacom PL mlikuwa mnatandikwa tu na YANGA bila ya kufurukuta, unaonaje mlipe kisasi cha hicho kichapo kwanza ili muendelee kujifariji kwa ubovu wa YANGA[emoji848][emoji38]
 
[emoji41]
FB_IMG_1649390660443.jpg
 
Mimi Kama shabiki wa Yanga sijaridhishwa na matokeo najiona Kama nimefungwa

Hongera underdog Simba kwa kupata sare
Endelea kujipa moyo huku wenzio wakiugulia maumivu ya makalio kwa kuzuia.
 
Yaah sisi ni wabovu mbele ya simba.... Hilo tumekubali

Mara ya mwisho klabu ya Yanga kupoteza mchezo ligi kuu dhidi ya Simba SC ilikuwa February 18 mwaka (2019)

.
.
Miaka mitatu sasa imepita rasmi bila Simba kushinda dhidi ya Yanga SC.

[emoji3502]2018 - 19 = Simba 1 - 0 Yanga

[emoji3502]2019 - 20 = Simba 2 - 2 Yanga
[emoji3502]2019 - 20 = Yanga 1 - 0 Simba

[emoji3502]2020 - 21 = Yanga 1 - 1 Simba
[emoji3502]2020 - 21 = Simba 0 - 1 Yanga

[emoji3502]2021 - 22 = Simba 0 - 0 Yanga
[emoji3502]2021 - 22 = Yanga 0 - 0 Simba
MAKOLOKOLO HOYEEEEEEE [emoji16][emoji2960]

Yani MAKOLO yanapita tu hapa kama vile yana makengeza, ndiyomaana yanateseka sana kwa matokeo ya leo hii [emoji23][emoji1732][emoji28]
 
Bocco na Mugalu ni vibarua upepo ukijumlisha magoli yao katika ligi msimu huu hata kiatu cha mtoto namba hiyo havai
Huwezi kuwafananisha chico + makambo na mugalu ambaye anaanza first eleven, sometime tukubali mechi kama ya leo anatoka moloko anaingia dg nkane wkt makambo yuko bench na chico yupo hospital..ukifuatilia chico anaumwaga mech ngumu tu
 
Huwezi kuwafananisha chico + makambo na mugalu ambaye anaanza first eleven, sometime tukubali mechi kama ya leo anatoka moloko anaingia dg nkane wkt makambo yuko bench na chico yupo hospital..ukifuatilia chico anaumwaga mech ngumu tu
Mugalu amecheza mechi ngapi za ligi mpaka sasa?
 
Yaaah kwenye ligi sisi ni Invincible kabisa ila Kimataifa huko tunajipanga tukawe Invincible pia

Tunasikitika sana kupoteza mchezo wa Leo na hongereni sana kwa kushinda game yenu
Unasema Invisibo wapi?

Amka ukakojoe usijelowanisha godoro.


Yaani hii Yanga ya akina Fei Toto na Mayele ijipange kuwa invicible kwa akina Zamaleck, Mamelod, RS Berkane nk.

Acha nilale sasa naona mmeishiwa vya kuchat humu
 
Nani leo alimwona Sakho....!?,,Nani alimwona Triple c "Chama",,nani alimwona Morrison leo wote walitolewa kwa kupewa majibu magumu kwa kijana aliyekuwa na swahumu akiwa uwanjani Yes..!!Ni Kibwana shomari kijana aliekuja na abood Kutoka Morogoro.

Sasa sisi Wananchi tushatangulia Arusha na wewe nifate tuje tuoneshane huku.🟡🟢.
 
Ukubwa na ubora wa Fiston Mayele unedhihilika leo, watu hawajadili kwa nini Mugalu kacheza mechi (11) hana bao hata moja.

Hawajadili kwa nini Sakho, Chama na wengine walipoteana.

Hawajadili kwa nini Simba haijashinda ligi kuu dhidi ya Yanga kwa miaka (03)

Mjadala na shangwe ni MAYELE KUTOFUNGA BAO leo dhidi ya Simba [emoji119]

Hiyo inatosha kuonesha ni jinsi gani Mayele anavyoogopwa na timu pinzani kiasi kwamba kutofunga kwake bao inatafsirika kuwa si jambo la kawaida [emoji119]
E bhana kinyundo penye mshono [emoji375][emoji13]
 
Unasema Invisibo wapi?

Amka ukakojoe usijelowanisha godoro.


Yaani hii Yanga ya akina Fei Toto na Mayele ijipange kuwa invicible kwa akina Zamaleck, Mamelod, RS Berkane nk.

Acha nilale sasa naona mmeishiwa vya kuchat humu
Hao wote tunawatoa na kusajili wachezaji kutoka kwenye hizo timu kubwa ulizozitaja
 
Hao wote tunawatoa na kusajili wachezaji kutoka kwenye hizo timu kubwa ulizozitaja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani hata kama watanzania wote tutaamua kununua magodoro mapya ya 6x6 hamuwezi kupata pesa ya kulipa ada za uhamisho, mishahara na posho kwa wachezaji hao toka timu hizo.
 
Back
Top Bottom