Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Ukubwa na ubora wa Fiston Mayele unedhihilika leo, watu hawajadili kwa nini Mugalu kacheza mechi (11) hana bao hata moja.
Hawajadili kwa nini Sakho, Chama na wengine walipoteana.
Hawajadili kwa nini Simba haijashinda ligi kuu dhidi ya Yanga kwa miaka (03)
Mjadala na shangwe ni MAYELE KUTOFUNGA BAO leo dhidi ya Simba 🙌
Hiyo inatosha kuonesha ni jinsi gani Mayele anavyoogopwa na timu pinzani kiasi kwamba kutofunga kwake bao inatafsirika kuwa si jambo la kawaida 🙌