Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kikubwa mjue kuwa hamna team.Yaaah tulikuwa wabovu sana Leo na hatukucheza vizuri Ila Simba wamecheza vzr ndo maana wameshinda mchezo wa Leo
Tulipanga unbeaten iendelee mpk tuchukue ligi ila imetokea bahati mbaya tumepoteza mchezo wa leo
Kuhusu swala la unbeaten bado sio kitu cha kuhakikisha maana hata Simba kuna msimu alikuja kutobolewa game ya mwisho.