Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Si mlikuwa mnasema Jamaa yenu atatetema leo, mkapiga kelele hapa

Sasa hivi mmehamia kwenye gape la alama tena.. Nyie hamna uwezo wowote yaani zaidi ya kelele.
Na ndio maana Simba kapata point 3 kirahisi kabisa kwasababu Yanga hamna kitu kabisa......ni kelele tu ndo wanaziweza
 
Yanga wameumiaaaa wanaumiaaa na wataumiaaa mlifikiri Simba kuifunga rahis eee poleni nyeee
 
Mmmeumbukaaa siku nyingine msimtegemee mtu mmoja kwny timu wapenii motisha wotee
 
Baada ya gemu mwamnyeto anaulizwa vipi kwa matokeo haya mnasemaje akajibu tunefurahi sana sanaa. Chezea Simba wewe?? Utopolo walikua wanakihoro wanaiogopa Simba kama ukoma maana kukaa kileleni sio kuchukua kombe subirini kwanza
 
Daah....kweli maisha yanabadilika sana,Leo hii Simba ni wa kushangilia sare?
Ww kaa ulie vzr sisi tulicheza ili tufunge ila ndo ikawa hvyo. Tunawacheka nyie mlioona mna kikosi bora mbona hamjamfunga mmnyama?.kweli sisi tuna kikosi kibovu sasa vipi.na mayele alosema ana deni na simba vipi bado lipo au ameongeza deni kwa juu
 
Si tunataka kombe la ligi kuu....huko kimataifa hakuna timu ya tanzania itakayochukua ubingwa...Simba lini walichukua kombe lolote huko kimataifa?
Wewe "kajamba nani" ndo unaona hakuna faida za kucheza kimataifa na kufika level ambazo SIMBA SC, Yule Ghalib anataka walau team iwe inaingiza chochote kwa msimu na kukuza brand ya GSM sio kutumia hela tu.

Wewe kama nani hapo yanga unazikataa hela za kimataifa?? USHABIKI USIWAFUMBE MACHO, mnakuwa kama mabumunda.
 
Ww kaa ulie vzr sisi tulicheza ili tufunge ila ndo ikawa hvyo. Tunawacheka nyie mlioona mna kikosi bora mbona hamjamfunga mmnyama?.kweli sisi tuna kikosi kibovu sasa vipi.na mayele alosema ana deni na simba vipi bado lipo au ameongeza deni kwa juu
Tunawasubili nusu fainali ya kombe la Azzam.

Mayele alishaanza kulipa deni kwenye ngao ya jamii, kinachofuata ni bonus tu.
 
Uto
Screenshot_20220430-210927_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom