Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Na ndio maana Simba kapata point 3 kirahisi kabisa kwasababu Yanga hamna kitu kabisa......ni kelele tu ndo wanaziwezaSi mlikuwa mnasema Jamaa yenu atatetema leo, mkapiga kelele hapa
Sasa hivi mmehamia kwenye gape la alama tena.. Nyie hamna uwezo wowote yaani zaidi ya kelele.