Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Ila tuseme tu kwa ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Kama Utopolo wameshindwa kuifunga Simba hii yenye washambuliaji wazee basi tena. Inabidi wakikague vizuri kikosi chao au wavunje benchi la ufundi. Haiwezekani Simba hii ya akina Mhili, Kibu Denis na Bocco mzee na Kagere isifungwe na Yanga.
Wao hawana haki ya kufunga?
 
Mimi shabiki wa simba, niseme ukweli kuwa simba imeonesha udhaifu mkubwa sanaaaa mechi hii.Hata kushambulia wameshindwa yani.Though walimdhibiti yanga but ni aibu sana simba kushindwa hata kulishambulia lango la Yanga.

Simba fanyeni usajili wa wachezaji wa kueleweka na wenye ushindani.Timu imepwaya sanaaa.
 
Nimpongeze Beki wa Simba Inonga for a wonderful display.

Siku nyingi sana sijaangalia mpira wa hapa nyumbani ila jamaa ana uwezo mzuri sana.
 
Aisee,Simba msimu ujao iache masihara isajili watu wa ukweli,Yani mechi hii ilihitaji wachezaji wazuri tu kuamua kwa usahihi...
 
Hongera Simba kwa point 3 muhimu katika mchezo wa Leo na kupunguza gape LA point katika msimamo
Si mlikuwa mnasema Jamaa yenu atatetema leo, mkapiga kelele hapa

Sasa hivi mmehamia kwenye gape la alama tena.. Nyie hamna uwezo wowote yaani zaidi ya kelele.
 
Kibwana Shomari anastahili kuwa Man of the Match. Sio tu aliweza kuwazuia Sakho, Morrison na Kibu Bali aliweza kunyang'anya mipira na kushambulia.
Vipi kuhusu Inonga?
 
Utopoloooo mmelala yoooo. Mayele sio wa Simba mayele akatambe mtubwa sugar
 
Back
Top Bottom