Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Si tunataka kombe la ligi kuu....huko kimataifa hakuna timu ya tanzania itakayochukua ubingwa...Simba lini walichukua kombe lolote huko kimataifa?Hmmh, mmegeuka tena? Sio nyinyi mliokuwa mnatamba kuwa mtaichakaza Simba Sc na Mayele atatetema?
Kuna derby ambayo Simba Sc ilikuwa imekaa kimya kama hii?
Kubalini tu kuwa hamna team ya maana kama ambavyo mmekuwa mkiikuza. Sajilini, laasivyo mtatoka mapema tena kama mwaka jana maana sioni team ya kimashindano hapo.
Sisi tunayajua madhaifu yetu na tutarudi kivingine.