Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Inaonekana Utopolo mmeumia sana galasa lenu kutofunga. Halafu pamoja na kupania kwa kuingia kambini week nzima na kuambulia draw kwa kweli inauma.
Yaaah inauma sana Mzee hasa kwa timu mbovu kama ya Simba
 
Inaonekana Utopolo mmeumia sana galasa lenu kutofunga. Halafu pamoja na kupania kwa kuingia kambini week nzima na kuambulia draw kwa kweli inauma.
Pia unauma gap la point 13 bado lipo palepale na Mayele bado ni top scorer wa ligi
 
mmepigiwa soka la CAF mkapaki bus
Soka la kipumbavu kabisa ball possession MAKOLO 51% kwa 49% YANGA, na matokeo ni 0 - 0 kisha bado mnashangilia tu[emoji848][emoji2]

Kila timu ishinde mechi zake, maana mlikuwa mnafurahi sana kutuma timu za Geita Gold na Namungo ziwashindie, bila shaka mmegundua kwanini zilidunda [emoji848][emoji56]
 
Benchi zima uongoz na wachezaji mtuombe radhi mashabiki hii timu sio ya kutoa sare na makolo ni aibu mpaka saiv naogopa kutoka kibanda umiza 😠😠
 
Baada ya gemu mwamnyeto anaulizwa vipi kwa matokeo haya mnasemaje akajibu tunefurahi sana sanaa. Chezea Simba wewe?? Utopolo walikua wanakihoro wanaiogopa Simba kama ukoma maana kukaa kileleni sio kuchukua kombe subirini kwanza
Bado Mayele anawadai goli dume/1 la ngao ya hisani, kataeni na hilo [emoji848][emoji851]
 
Tukiacha utani Yanga tunahitaji maboresho makubwa kwenye kikosi chetu
 
ANAANDIKA SHAFFIH DAUDA.

Yes Inonga kamdhibiti sana Fiston Mayele asifunge naamini sote tunakubaliana

Tukigeuza sarafu, vipi Chris Mugalu amefunga?? Simply NO! Hatusemi kitu kuhusu defense ya Yanga?

Au ni tunakubaliana kuwa Fiston Mayele ndie straika hatari zaidi nchini?
Mugalu ni mzee wa kimataifa hukoooo waulize Gendermarie
 
Unajua mara nyingi ukiwa na milioni 100 ukiona mwenzako amepata hata milioni moja unaumia labda nyie kama sio washindani wazuri. Ila mmeumia mliukamia sana mchezo ili tuu mumuonyeshe huyo malyeye halafu ndo mnapokosea timu nzima kumuabudu mtu mmoja
USIYEMPENDA KAJA [emoji28][emoji116]
JamiiForums1097535884.jpg
 
Back
Top Bottom