๐๐๐ nimeipokea hiyo mtaniChukua hii Mtani. ๐๐
View attachment 2206818
Kama ninyi mlivyokua mnafurahia miaka minne kupata sare huku tukilichukua kombeSema Furaha ingetimia mara mbili Mtani sababu Mayele tu ambavyo hajafunga kwenu ni furaha.
Yaani utafikiria Mayele ndo points tatu. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hahahaaa!! Haya bana Mtani.๐๐๐ nimeipokea hiyo mtani
Ilikuwa bondeni kwa Madiba baada ya kukosa penati๐
Kaja kwa hasira kupoza machungu yake kwa Mayele. Na vile wakongo wote wanapenda sifa๐
Mayele mr Misifa na Inonga vile vile. Kwa ujumla wanapenda kazi zao kuzifanya kikamilifu na kupata sifa wanazostahili.
Ila wenzetu mmezidi bana. ๐ ๐Kama ninyi mlivyokua mnafurahia miaka minne kupata sare huku tukilichukua kombe
Hawezi tetema mbele ya timu kubwa kama ๐ฆIla wenzetu mmezidi bana. ๐ ๐
Yaani hamfikirii gap la points linapunguaje nyie mnafurahia Mayele hajafunga ๐คฃ๐คฃ
Mtani ushasahau kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kabla ya msimu mpya kuanza kama sikosei, nini aliwafanya au yule alikuwa sio Mayele huyu. ๐คฃ๐คฃHawezi tetema mbele ya timu kubwa kama ๐ฆ
Hapo ndipo aliharibu tukasoma nyendo zakeMtani ushasahau kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kabla ya msimu mpya kuanza kama sikosei, nini aliwafanya au yule alikuwa sio Mayele huyu. ๐คฃ๐คฃ
Hapo ndipo aliharibu tukasoma nyendo zake
Hapo FA hakuna kupaki basi wala kupoteza muda maana mshindi lazima apatikane.Hahahaaa!! Haya bana Mtani.
Ngoja tuwasubirie FA kwenye Semi Final tuone tena itakuwaje. Sababu Pamba ni kama mushawatowa.
Kwa kweeli japo wenye kombe la robo fainali mnaweza fungwa na Pamba kweli?H
Hapo FA hakuna kupaki basi wala kupoteza muda maana mshindi lazima apatikane.
Tumalizane kwanza na Pamba unaweza shangaa David anafanya kazi yake bara-bara kwa Goliati kisha tukakutana mwakani๐
Zile tambo za Simba ina kikosi kibovu zimeishia wapi๐ nilitegemea mtatupiga hata tano๐Mdogo wangu ntazana ntazana hivi ndo ulienda Uwanjani au?
Ushabiki ni upofu, unashindwa kujua kuwa derby haiwaki kipimo cha ubora wa kikosi kwasababu unaweza kuwa na timu iliyokamilika na mwenzio mchovu lakini inapokuja kwenye derby mchovu anamvimbishia mwenye kikosi bora. Unataka kusema kuwa ile yanga iliyoshindwa kufungwa na kikosi kilichokuwa na kina konde boy, chama na wakina bocco waliong'aa ilikuwa ni Yanga bora?Ila tuseme tu kwa ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kama Utopolo wameshindwa kuifunga Simba hii yenye washambuliaji wazee basi tena. Inabidi wakikague vizuri kikosi chao au wavunje benchi la ufundi. Haiwezekani Simba hii ya akina Mhili, Kibu Denis na Bocco mzee na Kagere isifungwe na Yanga.
Ila akumbuke na huku kibwana Shomari atakuwepoMorrison kakata tamaa !
"Nafikiri HAIWEZEKANI tena sisi kushinda ubingwa, lakini tutaweka nguvu tuwatoe (Yanga) kwenye kombe la FA"
๐ Bernard Morrison
Mtani nadhani ulishuhudia wachimba dhahabu wa Geita walitaka kufanya nini Jangwani. Bahati msaada ukapatikana tutani ๐Kwa kweeli japo wenye kombe la robo fainali mnaweza fungwa na Pamba kweli?
Haiezi tokea. ๐
Haya Mtani tusubiri tuone.Mtani nadhani ulishuhudia wachimba dhahabu wa Geita walitaka kufanya nini Jangwani. Bahati msaada ukapatikana tutani ๐
Hawa sio wa kuwachukulia poa. Wanapania
Haya kacheze na Pamba na invisible yakoUnaelewa maana ya invisibo (invicible) kwenye soka? Au kwa akili yako kina Denis, Chris au Meddy unaona kwako ndio invisible. Hapo nadhani ni mmoja pekee aliwahi kuwa kikosi cha invisibo kwenye ligi ya Bara ni Kagere na hata sikumbuki ikiwa kweli alikuwemo kwenye kikosi cha Simba invisibo.
Halafu wewe unaleta habari za Yanga kuwa invisibo kwenye michuano ya CAF Labda uwe unamaanisha ile CUF ya Lipumba halafu mcheze na Al Hilaly ya Somalia, Zamaleck ya Tandale kwa Bibi Nyau na Mamelody ya Mwananyamala Kisiwani.
Umekosa point kabisa nyie si ndo mnataka kuwa kileleni? Sasa mbona msifunge tuu? Yani timu mbovu hiviMmeumbuka ninyi MAKOLO, kwahiyo militegemea kabisa mbamizwe na Mayele ili tena mzidiwe point 16, sasa hiyo si netball badala ya soka [emoji848][emoji3526]