Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kupo,kama mlivyopwaya kipindi kile mkala 5-0.Kwenye derby kuna kupwaya ?
Na 4-1 hapo baadae.Ndio kupo,kama mlivyopwaya kipindi kile mkala 5-0.
Kwani kulikuwa na mpango wa kumbakiza?? Siwezi kuilamu Simba Sc kwasasa baada ya ilichokifanya kwa miaka minne, nasubiri wakati wa usajili nione kama kama wapo serious.mugalu auzwe
Mkuu kumbe wewe Mkongwe. Ulikuwa wajitambua kipindi hicho?Ndio kupo,kama mlivyopwaya kipindi kile mkala 5-0.
Yanga hawafiki tena golini.
hawafiki golin mara kwa mara ila kwenye transition wako fasta sanaaYanga hawafiki tena golini.
Wao walishaanza kutafuta strikers wapya sokoni.Nyie mnafika?
Hmmh kwahiyo wakati Yanga anapigwa 5-0 enzi za kina Okwi, wewe ulikuwa wapi hiyo juzi?Mkuu kumbe wewe Mkongwe. Ulikuwa wajitambua kipindi hicho?