Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Mpira wa kijinga kabisa, nilidhani ulipoa kwa hamasa tu kumbe hadi uwanjani.
 
mugalu auzwe
Kwani kulikuwa na mpango wa kumbakiza?? Siwezi kuilamu Simba Sc kwasasa baada ya ilichokifanya kwa miaka minne, nasubiri wakati wa usajili nione kama kama wapo serious.

Kuna fagio kubwa sana linatakiwa lipite hapo Simba Sc.
 
Back
Top Bottom