Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Ni mbinu mojawapo ya mchezoWanategemea Counter Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mbinu mojawapo ya mchezoWanategemea Counter Yanga
[emoji1787] unataka mgao nini mkuu [emoji1787]Mnapokea lini Boom?
Ikitoka droo Yanga ana faida maana licha ya kupata pointi anaendelea na rekodi ya kutopoteza mchezohizi dakika ni mbaya sanaaa
Twende Seoul tu, hakuna namna hapa.Aaah yanga goli hata mojaaaa
umenena vyemaIkitoka droo Yanga ana faida maana licha ya kupata pointi anaendelea na rekodi ya kutofungwa
Atakuwa ana mdai🤣[emoji1787] unataka mgao nini mkuu [emoji1787]
Anza kutetema hapo ulipo.....tetema tetema..Aaah yanga goli hata mojaaaa
Huyu Farid anakuwaga mzuri mechi za Simba pekee.79' Simba wanaonana hapa ila mipango yao inavurugwa
Sub kwa Yanga
Farid Ndani, Feisal nje
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
simu za leo zimetolewa mitetemo mpaka sasaAnza kutetema hapo ulipo.....tetema tetema..
Itakuwa wamezima AC sasa moshi unasumbuaDah ... Hii ni Pumzi Ya Moto....Half ground hapa.
Mwenye msimamo wa hii ligi yetu aniwekee hapa.