Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Nakubaliana na wewe kama shabiki huru nilitegemea Crispin Ngushi amsub Moloko.Sub zake zingetumaliza aisee! Yaani jamaa tuliwakamata vizuri. Baada ya mabadiliko tu, tukaamza kuelemewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe kama shabiki huru nilitegemea Crispin Ngushi amsub Moloko.Sub zake zingetumaliza aisee! Yaani jamaa tuliwakamata vizuri. Baada ya mabadiliko tu, tukaamza kuelemewa.
SwaumuDerby mbovu kabisa timu hazina ubunifu kabisa
Bahati mbaya huwa hawako makiniDaah huyu Nkane na Mayele kama wangekuwa makini, sasa hivi watu wangekuwa wanalala na viatu.
Mimi shabiki wa MAKOLOKOLO FC nimechukia sana, inakuwa vipi nizidiwe point 13 na timu ya wananchi nakati mimi ni BINGWA wa kimataifa [emoji848]Mimi Kama shabiki wa Yanga sijaridhishwa na matokeo najiona Kama nimefungwa
Hongera underdog Simba kwa kupata sare
Nani kakudanganya huyo jamaa anaweza namba zoteHuyu Farid anakuwaga mzuri mechi za Simba pekee.
MAKOLO Penalty goals 8 of 20 matches VS YANGA penalty goals 3 of 21 matches, endelea kuteseka ndugu [emoji28]Timu Ya Mechi Za Kimataifa Pale Yanga Hakuna.....Ila Mechi Zetu hizi Za Mchongo Mchongo..za Marefa mara penati Wanapeta Mara Wanaua Shambulizi kwa Kunyoosha Kibendera cha Kuotea.
Leo Utopolo Mmepata pumzi Ya joto La Kimataifa....!
NyooooooooooOptions ni mbili tu.
1.Simba kushinda
2.yanga kufungwa
Real Madrid bingwa LaligaRasmi Yanga bingwa