Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

PABLO alitakiwa kuifanyia homework defence style ya YANGA ..kujua afanyeje . lakini dk 90 sikuona ufundi wowote
 
Timu Ya Mechi Za Kimataifa Pale Yanga Hakuna.....Ila Mechi Zetu hizi Za Mchongo Mchongo..za Marefa mara penati Wanapeta Mara Wanaua Shambulizi kwa Kunyoosha Kibendera cha Kuotea.

Leo Utopolo Mmepata pumzi Ya joto La Kimataifa....!
 
Mimi Kama shabiki wa Yanga sijaridhishwa na matokeo najiona Kama nimefungwa

Hongera underdog Simba kwa kupata sare
Mimi shabiki wa MAKOLOKOLO FC nimechukia sana, inakuwa vipi nizidiwe point 13 na timu ya wananchi nakati mimi ni BINGWA wa kimataifa [emoji848]
 
Timu Ya Mechi Za Kimataifa Pale Yanga Hakuna.....Ila Mechi Zetu hizi Za Mchongo Mchongo..za Marefa mara penati Wanapeta Mara Wanaua Shambulizi kwa Kunyoosha Kibendera cha Kuotea.

Leo Utopolo Mmepata pumzi Ya joto La Kimataifa....!
MAKOLO Penalty goals 8 of 20 matches VS YANGA penalty goals 3 of 21 matches, endelea kuteseka ndugu [emoji28]
 
Back
Top Bottom