Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Dakika 2

Yanga wanafanya shambulizi hapa lakini prisons wanakaa vizuri na kutoa mpira nje inakuwa kona

Mpira unapigwa lakini unaenda nje na kuwa goal kick
 
05'

Yanga wanakuja kwa kasi sana kwenye lango la prisons
 
06'

Prisons wanapata kona ya kwanza
 
Prisons ni kama wamedharau mechi
 
8'

Moloko kapiga cross kubwaa imekosa mmaliziaji na kufanya mpira utoke na kuwa mpira wakurushwa kuelekezwa yanga
 
Prisons wanachezeaa nusu h
Uwanja
 
Yani yeye na kipa lakini sijui kafanyaje mpaka kakosa
 
Ilikuwa dakika ya 12 mayele yeye na kipa
 
Back
Top Bottom