Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

15'

Beki wa kushoto abel ibrahama kapewa kadi ya njano
 
Yanga kwa fowadi bado sana hilo wasijisahahu kwa timu kupata matokeo wakafikiria wataweza kuwa na faida kwenye mechi kubwa kama za kimataifa
 
Juma shabani kagongana miguu na mwana jela mzee wa kazi ngumu
 
18'

Saido anapiga freekick lakini mpira unaondoshwa eneo la hatari
 
20'

Feisal anaupiga mpira kwa kichwa lakini goli kipa wa prison anakaa vizuri na kuunyaka vilivyo mpira
 
Kiwango cha mayele leo ni kibovu sijawahi kuona
 
Nabi kaa chini, hawa ndio bijana wako bila muhamala
 
Mayele uviziaji wako anajikuta anaikostisha timu, walikuwa kwenye sehemu nzuri ya kushambulia ila uviziaji umempelekea kujikuta yuko offside
 
26'

Prisons wanashambulia lango ya Yanga lakini diara anafanikiwa kuondosha shambulizi kwa ku punch mpira
 
Mwalimu Nabi kama anataka ushindi kwenye hii mechi, basi hana budi kumuingiza Heritiel Makambo mapema iwezekanavyo kuchukua nafasi ya Saidoo.

Hakuna sababu ya kuchezesha viungo wengi kwa timu iliyopaki basi.
 
Bangala anavirasta flani vya kuzugia kama zakimasai
 
Upumbavu mwingine walionao wachezaji wa Yanga, unakuta mtu ana mpira yupo kwenye pozisheni nzuri ya kupiga na hata kufunga lakini anaanza eti kutafuta Mayele yuko upande gani ampasie
 
Mwalimu Nabi kama anataka ushindi kwenye hii mechi, basi hana budi kumuingiza Heritiel Makambo mapema iwezekanavyo kuchukua nafasi ya Saidoo.

Hakuna sababu ya kuchezesha viungo wengi kwa timu iliyopaki basi.
Nilikuambiaje kuhusu swala lako la kumshauri kocha?
 
Leo nikasema ngoja niangalie game ya congo fc,kumbe huyu mayele ndio mnamsifu mfungaji bora na ni mviziaji hivi..yaani huyu ndio akapambane kule ligi ya mabingwa...hebu acheni kuota..
 
Back
Top Bottom