Yanga SC 1-1 KMC | VPL | Mkapa Stadium

Ligi imesimama....
Yanga hawataki kufanya mazoezi wao wapo busy kusoma al badil ( kisomo)[emoji1787][emoji1787]
Alafu tunaanza kuilaumu Tff wakati tunavocheza hata hatueleweki,sijui hawalipwi mishahara au ni vip?Mbona mwanzo wa ligi tulikua moto sana.
 
Daaah ngoja tuone moja moja now [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…