Yanga SC 1-3 Express | Kagame Cup. Yanga yaondolewa hatua ya makundi

Wapo bize na mo! Wanaacha chama lao linateswa huku! Wameanza kututia aibu mapema tu! Je huko kwa wanaume ahly, casablanca, mamelod si hawa jamaa watatuumbua kbs
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hawa yanga aka "utapu tapu" ni timu ya kawaida sana sema huwa wanabebwa sana na waamuzi wa hapa kwetu.

Niliwaambia hizi mechi za kimataifa watatepeta sana maana ujuzi wao upo katika mieleka sio mpira.

Angalia timu inavyobugia magoli!
 
Yanga timu yangu, michuano hii ya CECAFA mmepeleka kikundi cha wahuni..
 
Reactions: mmh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…