Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024

R jiga alifungiwa msimu nzima na tifua tifua leo ndio nimejua kwa nn YANGA BINGWA.
 
Sisi wazee tunasema kuna mke wa KIGOGO TIEFUEFU anafanya kazi GSM ndo mana
Kipa kadakia nje ya box 7bu kapewa ela
Hii haikubariki TFF kuna KIGOGO ana kampuni ya usafi GSM
Sisi wazee tunasema hatukubari
 
Kibabage uyu jamaa hastaili kuepo yanga.,aende ata namungo uko
Kweli, japo Yanga inasifiwa ina kikosi bora ila bado kuna lundo la wachezaji vichomi.. hawa kina Aziz andambwile, Kibabage, Nkane, Sureboy, Mkude, Msonda, Baleke ni mizigo kwa timu. Pia hakuna mbadala wa Diara pale golini ndio maana hata game ya debi amecheza bila ku train na wenzake
 
Sasa hawa si chaguo mbadala? Wachezaji high class utawasajili wakakae bench?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…