Yanga Sc 2-0 Taifa Jang’ombe | Mapinduzi Cup | Zanzibar

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Baada ya Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli 2 bila, leo Tena Saa 2:15 usiku, machampion watetezi Yanga SC kuanza mbio za kutetea taji lao kwa kukipiga na Taifa Jang'ombe, ambao walipoteza mechi ya kwanza.

Je, Yanga SC kuendeleza kipigo kwa Taifa Jang'ombe ama Yanga watakwaa kisiki?

Mtanange huu utakuwa hapa tukikuletea Live.

========

Yanga Sc 2-0 Taifa Jang’ombe

⚽Makambo 33'

⚽Nkane 50'
 
Games hizi za mapinduzi mtu atapigwa goals si chini ya tatu.
 
Sisi ndo sisi wengine mafisi.
 
Yaani Huyu Denis Nkane Angeenda Hata Azam angefika Mbali
 
Alie Pitisha Rangi ya Jezi za Leo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Hatujui Yupi Ni Yupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…