mbona Zanzibar wanapelekaga timu kimataifa ili kila mwaka wanafungwa Hadi goli 6 na kuendeleaHizi TFF ligii kuu Kwanini Haihusishi Vilabu vya Zanzibar na Wote ni Nchi Moja na Sisi Tunatumia Tanzania? Atleast wangekuwa na Timu za Maana mbona kama tunajitenga?
Zanzibar wanashirikisho lao la mpira pia ni mwanachama wa caf, ndio maana vilabu vyao vinashiriki michuano ya ngazi za vilabu inayoandaliwa na caf. Kuna mwaka fulani waliomba uanachama huko Fifa ila mambo yaligonga mwambaHizi TFF ligii kuu Kwanini Haihusishi Vilabu vya Zanzibar na Wote ni Nchi Moja na Sisi Tunatumia Tanzania? Atleast wangekuwa na Timu za Maana mbona kama tunajitenga?
Michezo haiko miongoni mwa mambo ya muungano
We Jamaa Msenge Kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wawe makini na muhogo wa Jang'ombe[emoji1787]
Halahala wasije chomoa mwiko nyuma na kuchomekwa jihogo
Iyo ni kweli kabisa, kwanza huu muungano kwa mazingira ya sasa hauna maana yeyote kwa mtanganyikaVitu vingi tu hata nje ya michezo ukiangalia hai relate na hii dhana ya muungano kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Mkuu usinihoji sana kuhusu muungano tupo jukwaa la michezo, ila nadhani Kati ya jambo linalolindwa kwa gharama yeyote na serikali yetu ni huu muungano. Kwaio usilete chokochoko[emoji28][emoji28][emoji28] kwa Hiyo Huu Muungano Unahusu Nini Kuingia Bila Passport [emoji28][emoji28][emoji28] Si Wana Passport Yao au? Kila kitu naona wamejitenga, shirika la utangazaji, Shirika la bima, uongozi wao, mfumo wao Wa Elimu, Kila kitu wao na Sisi Kwetu si Tutengane tuu Tujue Moja.
Hata Michezo tunashindwa Kuungana tukafanya kitu Bora?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Mkuu usinihoji sana kuhusu muungano tupo jukwaa la michezo, ila nadhani Kati ya jambo linalolindwa kwa gharama yeyote na serikali yetu ni huu muungano. Kwaio usilete chokochoko