Yanga Sc 2-0 Taifa Jang’ombe | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Hizi TFF ligii kuu Kwanini Haihusishi Vilabu vya Zanzibar na Wote ni Nchi Moja na Sisi Tunatumia Tanzania? Atleast wangekuwa na Timu za Maana mbona kama tunajitenga?
mbona Zanzibar wanapelekaga timu kimataifa ili kila mwaka wanafungwa Hadi goli 6 na kuendelea
 
Hizi TFF ligii kuu Kwanini Haihusishi Vilabu vya Zanzibar na Wote ni Nchi Moja na Sisi Tunatumia Tanzania? Atleast wangekuwa na Timu za Maana mbona kama tunajitenga?
Zanzibar wanashirikisho lao la mpira pia ni mwanachama wa caf, ndio maana vilabu vyao vinashiriki michuano ya ngazi za vilabu inayoandaliwa na caf. Kuna mwaka fulani waliomba uanachama huko Fifa ila mambo yaligonga mwamba
 
Michezo haiko miongoni mwa mambo ya muungano

[emoji28][emoji28][emoji28] kwa Hiyo Huu Muungano Unahusu Nini Kuingia Bila Passport [emoji28][emoji28][emoji28] Si Wana Passport Yao au? Kila kitu naona wamejitenga, shirika la utangazaji, Shirika la bima, uongozi wao, mfumo wao Wa Elimu, Kila kitu wao na Sisi Kwetu si Tutengane tuu Tujue Moja.

Hata Michezo tunashindwa Kuungana tukafanya kitu Bora?
 
Wawe makini na muhogo wa Jang'ombe[emoji1787]

Halahala wasije chomoa mwiko nyuma na kuchomekwa jihogo
We Jamaa Msenge Kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vitu vingi tu hata nje ya michezo ukiangalia hai relate na hii dhana ya muungano kabisa
Iyo ni kweli kabisa, kwanza huu muungano kwa mazingira ya sasa hauna maana yeyote kwa mtanganyika
 
[emoji28][emoji28][emoji28] kwa Hiyo Huu Muungano Unahusu Nini Kuingia Bila Passport [emoji28][emoji28][emoji28] Si Wana Passport Yao au? Kila kitu naona wamejitenga, shirika la utangazaji, Shirika la bima, uongozi wao, mfumo wao Wa Elimu, Kila kitu wao na Sisi Kwetu si Tutengane tuu Tujue Moja.

Hata Michezo tunashindwa Kuungana tukafanya kitu Bora?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Mkuu usinihoji sana kuhusu muungano tupo jukwaa la michezo, ila nadhani Kati ya jambo linalolindwa kwa gharama yeyote na serikali yetu ni huu muungano. Kwaio usilete chokochoko
 
Kipindi cha pili kimeanza hapa, matokeo bado Yanga 1-0 Taifa Jang'ombe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Mkuu usinihoji sana kuhusu muungano tupo jukwaa la michezo, ila nadhani Kati ya jambo linalolindwa kwa gharama yeyote na serikali yetu ni huu muungano. Kwaio usilete chokochoko

Uzi umekosa Mashabiki wa Yanga Tupige story Zozote Tuuu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwani huyu Nkane anasubiri nini hapa Bongo kwa Ndugai?
 
Back
Top Bottom