Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

alishazoea kufungwafungwa tangu kule Mtibwa. Sijui kwa nini hawakuongea na Simba wamchukue Jeremia Kisubi kwa mkopo
Wamemsajiri kimihemko wakisikiliza maneno ya wachambuzi wa mchongo.
 
Feisal aliigharimu timu kwa kuwananga KMK kwamba

Kosa lipo hapa alipofunga na kuvua shati kisha kuweka ishara za kebehi

Your browser is not able to display this video.
 
Habari zetu Mnazo🥱🥱,, kweli Yanga ndo timu inayofuatiliwa sana hapa nchini.
Ile habari wala haihitaji kuifuatilia Yanga, inasambaa yenyewe. Unategemea habari ya kukatazwa kuchat isisambae mitandaoni?
 
Nilisema hapa utopolo bado sana level za Simba Sc na waache matumaini ya ubingwa vinginevyo watalia sana mwishoni hao vyura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…